DOWNLOAD SERIES, MOVIES, SEASONS, DOCUMENTARIES NA ANIMATIONS

Kama ilivyo kawaida watu wengi tunapenda sanaa kuangalia movies na series za Action,romance,thriller,horror na aina nyinginezo vilevile watoto nao wanapenda cartoons, animations na hata webtoons lakini tatizo linakuja pale ambapo hatujui wapi pa kuzipakua

Basi leo hii nakuletea article itakayo kusaidia kudownload movies,series na video nyingine buree kabisa katika high definition.

MOVIES SERIES NA SEASONS ZA            KIKOREA       KICHINA     KIJAPANI

Njia zifuatazo zitakusaidia kudownload

1.APPLICATION  kuna Android application inayoitwa #DRAMANIA.Hii ni njia ya kwanza na ni rahisi kudownload series na movie za kikorea,kichina na hata kijapan.ni nzuri sana na nirahisi kutumia Apps hii imekusanya film nyingi sana za kila aina.uzuri zaidi hii imekusanya UPDATES ZA SERIES ZOTE ZINAZOENDELEA HIVI SASA.

Pia unaweza kudownload ama kuwatch online kama utapenda.zaidi zaidi ni kitu ambacho kwa mimi ninachoipendea inakata EPISODES katika PARTS hii inakuwezesha kudownload episode ndefu kwa muda mfupi kuliko ingekuwa in  full length

Tatizo la apps hii ina matangazo hasa pale unapojaribu kudownload itakubidi usubiri kwa sekunde kadhaa hivi

Kumbuka!!;Apps hii haipatikani kwenye Google play store tumia link hii #Dramania  kudownload

2.WEBSITE.Bila shaka mnajua kuna website nyingi sana za kudownload series Lakini nyingi zimekuwa hazina video zenye mwonekano mzuri ama unakuta EPISODE mmoja ina mb nyingi au hata gb kubwa mara nyingine.Leo nakuletea website ambazo ni nzuri kutumia, website ya kwanza ni

www.dramacools.io hii ni website nzuri sana kutumia inakupa series na movie zote katika ubora wa 360p,480p hadi 720p

Jinsi ya kudownload kupitia website hii kwanza nakushauri utumie UC BROWSER tena iwe latest version ukishaifungua na kuchagua episode unayotaka ikishafunguka hiyo episode chini ya hyo video kuna neno DOWNLOAD utaclick na kuendelea kudownload

ama unaweza PLAY hiyo video halafu click alama ya kudownload itakayojitokeza kwenye hiyo video

Website nyingine ni hizi hapa

Kwa kutumia njia hizo mbili utafanikiwa kudownload Series na movies za kikorea kichina na kijapani pamoja na Thailand kwa uzuri tu!!!

MOVIES SERIES NA SEASONS ZA           HOLLYWOOD.

Ili kuweza kudownload hollywood series movies na documentaries unaweza kufungua website zifuatazo

Pia ukitaka kudownload hollywood na bollywood movies tumia

www.fzmovies.net

Leave a comment